Hamisi wa Bongo Star Search uwezo wake mdogo



Leo niliangalia marudio ya Bongo Star Search ya Jumapili nimeona kabisa huyo Hamisi uwezo wake wa kuimba ni mdogo sana wakati wenzake uwezo wao ni mkubwa. Na amshukuru Mungu kufika hatua ya 10 Bora, hakustahili kufika hatua hiyo.

Ifike kipindi watanzania tuache unafiki pale Bongo Star Search wanaangalia kipaji na si mtu kutia huruma na washiriki wote wameenda kwa ajili ya kutafuta nafasi ya kuonekana na pia kutafuta maisha kupitia vipaji vyao.

Hitimisho: kiukwel Bongo Star Search ya mwaka huu ndio yenye vipaji vikubwa kuliko Bongo Star Search zote kwa mtazamo wangu

By Innocent Dependent/JF

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watu wanapiga kura na kama unaona Hamisi hawezi kuimba basi usimpigie kura na sio kuandika gazetini ili kuwashawishi watu wasimpigie kura Hamisi !!! Hata Master J pia kama Jaji haipendezi anavyomponda Hamisi wazi wazi aache wananchi wachague wanayemuona wao anafaa na sio kulazimisha watu au hatujui nini maana ya uhuru wa kuchagua !!! kila mtu na mtazamo wake . Master J wakati wa kumchuja Hamisi umepita na sasa awaachie wananchi wachague na kumpigia kura wanayemuona anastahili kua msindi wa BSS

    ReplyDelete
  2. Hata mie naungana nao Khamis sikuona cha maana toka kwake tusipende kuingilia majaji wana vigezo vyao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad