Haya Ndio Majibu ya Beyonce Kuhusu Kuwa na Ujauzito Tena....

Beyonce amejibu taarifa za kuwa mjamzito baada ya kuibuka kwa muda mrefu sasa, ni kwenye mahojiano na Jarida la ELLE toleo la Januari 2020.

Mwandishi alimuuliza "Wewe ni mjamzito?" Queen Bey alijibu "Achaneni na viungo vyangu (Ovaries) vya uzazi." 👀
1m
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad