Huyu Hapa DADA Mtanzania Aliyepotea Jicho na Mguu Kutokana na Shambulio la Bomu la Al Shabaab

Natasha, Mrembo Mtanzania ambae mpaka July alikua mzima wa viungo vyote na alikua akichapa kazi usiku/mchana lakini sasa ni habari nyingine, alikwenda Somalia kikazi Hoteli yao ikapigwa bomu na Al-Shabaab, akajeruhiwa jicho na kukatika mguu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad