Huyu Ndio Anayedaiwa Kuwa ni MTOTO wa Zari Hassan wa Kwanza...Uwezi Amini Mtu Wangu

Huyu ndiye Zuleha mdogo wake Zari ambaye week chache zilizopita Alikamata Headlines za magazeti pamoja na Mitandao ya kijamii akidaiwa kuwa ndiye mtoto wa Kwanzaa wa Zari japo Zari amekuwa akilipinga hilo kwa muda mrefu na kudai ni mdogo wake wa kuzaliwa ..!!!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad