Huyu ndio Msanii Anayeongoza Kwa Muziki Wake Kusikilizwa zaidi Duniani


Drake ndio mwanamuziki ambaye muziki wake umesikilizwa Zaidi duniani kuanzia mwaka 2010 mpaka sasa, hivyo kwa ujumla nyimbo zake zimesikilizwa mara bilioni 28.

Wakati Shape of you wimbo wa Ed Sheeran ndio wimbo uliosikilizwa Zaidi kuanzia 2010 mpaka sasa na kufikia Zaidi ya bilioni 2.4. Hii ni kwa kupitia mtandao wa Spotify
Mwanamuziki aliyesikilizwa Zaidi tangu 2010-2019
1. Drake
2. Ed Sheeran
3. Post Malone
4. Ariana Grande
5. Eminem

Wimbo uliosikilizwa Zaidi 2010-2019

1. Shape of you – Ed Sheeran
2. One Dance Drake alioshirikiana na Wizkid na Kyla
3. Rock Star – Post Malone
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad