JD "Kumfungia Msanii Kufanya KAZI Sio Sahihi Kuna Weza Kumuharibia Maisha Yake Yote:

"Industry yetu bado changu, inafika time watu wanafungiwa inaonekana kama Mamlaka imekosea, hii ni hatari sana, unapomfungia Msanii inawezekana kwa kiasi kikubwa ukaathiri maisha yake yote"- Dj JD

“Watu wa umri wetu asilimia kubwa wanaamini karne yao ndio ilikua karne ya muziki, huku kwengine tunakoelekea hawapaelewi, ni kama waliopo sasa hivi wataona baadae muziki huo ndio ulikua bora”- Dj JD
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad