Kajala Achukia MTOTO Wake Paula Kutajwa Tajwa Kwenye Nyimbo za Wasanii wa Bongo Flava

Wakati wengine wakiota kuwa maarufu kwa udi na uvumba, Kajala ajutia Paula kuwa maarufu !

Kajala alipoulizwa na paparazzi "Unajisikiaje unapoona wasanii wa bongo Fleva wanamtaja mwanao kwenye nyimbo zao? Amejibu

"Kiukweli nachukia sana yaani maana utakuta wanamuimba sijui kwanini wakati yule sio msanii wa kuimba wala kuigiza kuna muda nakaa najuta sana kwanini nilimpost kwenye mitandao ya kijamii natamani kuacha ila nimeshampost nabaki najutia tuu kwenye maisha yangu yani natamani watu wasingemjua hata kwa sura"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad