Kajala Afunguka Kuhusu Ujauzito WAKE na Mwanaume Anayetoka Naye Kimapenzi

Msanii wa Filamu Kajala Masanja amesema kuwa yeye siyo Mjamzito japo ni kweli kuwa yupo Kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mtu lakini amesisitiza kuwa anayetoka naye sio DJ kama watu wanavyoongea Kwenye Mitandao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad