KAREN Gadner Afunguka Kuhusu Baba Yake Kuwapiga Wanaume Wanaomtongoza

“Baba yangu (Gadna) huwa haingilii mahusiano yangu kwani nimesha kuwa mtu mzima sasa na nina jitambua.” Hajawahi hata kutoa maoni yoyote kuhusu nachokifanya |

Ameyasema Hayo Malkiakaren akijibu swali baada ya kuulizwa juu ya wanaume kuogopa kumtongoza kwa sababu inasemekana baba yake huwapiga watu wanaomfatilia msanii huyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad