Kesi ya Mwanamuziki RIHANNA na Baba Yake Mzazi Yaelekea Pabaya

Mambo yanaweza kwenda pabaya kama Rihanna na Baba yake hawatamaliza Kesi yao vizuri.

Mtandao wa HNHH umeripoti kwamba Rihanna alimtaarifu baba yake mzee Ronald Fenty kuhusu kufika mahakamani March 18 au 19 mwaka 2020 kwa ajili ya usuluhishi lakini bado mzee wake hajampa jibu la Ndio.

Riri alimburuza mahakamani Baba yake kwa kutumia chapa ya FENTY kujiingizia kipato bila idhini yake kama mmiliki halali wa Chapa hiyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad