KIMENUKA...WCB Wapewa Mwezi Mmoja Kurekebisha Uwanja wa Sokoine Mbeya Waliohuharibu

Kamati ya Siasa ya chama cha Mapinduzi @ccmtanzania mkoa wa Mbeya umewapa mwenzi mmoja waandaaji wa Tamasha la @wcb_wasafi Mkoani humo kurekebisha mara moja Uwanja wa Sokoine wa Jijini Mbeya Ulioharibika mara baada ya Kufanyika Tamasha la Home coming lililoandaliwa na Uongozi wa WCB Wasafi.

Kwa sasa uwanja huo umekuwa kama zizi la ng'ombe.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad