KUBALI Ama Ukatae Tanasha ni Mtu Sahihi Kwa Diamond Platnumz


Leo tuje kwenye maisha binafsi ya wasanii wetu nje ya mziki wao Tokea diamond awe na uhusiano na tanasha, mondi ametulia sana usikii sijui katoa na Nani Nampa pongezi tanasha kwa kumtuliza mondi maana mondi kiukweli kweli alizidisha kuchepukaEKX_IwWWkAAnkvm.jpg hata kama ni mwanaume sio kwa vile.

Tanasha ni mtu sahihi kwake cos ni mpole me binafsi napenda wanawake wapole sijui ni kwasababu me ni mpole, Hana show off, sio mtumiaji Sana wa social network alafu kingine ambacho anacho sio mtu ambaye anayejibizana na ma ex wa mondi ili lilikuwa linawashinda wanawake wengi walioanzisha uhusiano na mondi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad