Web

Kubenea AJITOA Kugombea Uongozi Chadema Kisu Tundu Lissu

Top Post Ad


Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu anafaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, hivyo amejitoa kugombania nafasi hiyo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Desemba 18, 2019

Amesema Lissu ataweza kufanya kazi ambazo yeye angeweza kuzifanya

Endapo watateuliwa na Baraza, Mbunge wa Viti Maalumu wa (CHADEMA), Sophia Mwakagenda atachuana na Tundu Lissu kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.