Kutana Na Waziri Mkuu Mdogo Duniani

Mwanasiasa Sannna Marin wa Finland ameteuliwa kuchukua nafasi ya uwaziri mkuu wa nchi hiyo na chama chake cha Social Democratic baada ya waziri mkuu wa sasa wa nchi hiyo kujihuzuru

Kabla ya kuchukua nafasi hiyo Sanna mwenye miaka 34 kwa alikuwa waziri wa mambo ya ndani na usafirishaji wa nchi hiyo chini ya chama kikubwa cha Social Democratic atachukua nyadhifa ya juu kabisa ya kisiasa kwenye nchi hiyo kwanzia leo Desemba 9

Waziri mkuu wa sasa wa nchi hiyo Antti Rinne ameondolewa kwenye nafasi hiyo baada ya vyama viwili kwenye muunganiko wa vyama vitano vya kisiasa vitano kupiga kura ya kutokuwa na imani naye

Sanna amekuwa mbunge wa bunge la Finland tangu mwaka 2015 na atakuwa mwanamke wa kwanza mdogo zaidi kuongoza taifa hilo la barani Ulaya

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad