MAAFA YA MVUA: Watu Wasombwa na Maji LIVE “Tunakufa Maskini Analia” (VIDEO)



Mawasiliano kati ya Mkoa wa Mbeya na Tabora yamekatika baada ya daraja la Mto Lupa linalounganisha Mji mdogo wa Makongorosi na Chunya Mjini kuvunjika na kusababisha baadhi ya wananchi waliojaribu kuvuka kwa miguu kupoteza maisha.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad