Majibu ya Alikiba Kuhusu Kuoa Mke wa Pili “Kwanini Nishindwe”




Alikiba amehojiwa kwenye kipindi cha Leo tena ya Clouds FM ambapo ameulizwa kuhusu ndoa yake na kama angependa kuja kuoa mke wa pili hivi karibuni baada ya yeye kusema kuwa mke wake Amina kwa sasa yupo Mombasa Kenya.

Kwenye mahojiano hayo kuhusu ndoa yake Alikiba amesema kuwa
”Hakuna ndoa isiyokuwa na migogoro na ni vitu vya kawaida na sipendi kuongelea hilo, mimi sijawahi kulia kwenye mapenzi lakini nimewahi kuexperience maumivu lakini maumivu yangu hayawezi kufanana na ya kwako”

Pia Alikiba alipoulizwa kuhusu kuoa mke wake alijibu haya..
”Kwanini nishindwe, mkisikia nimeoa jua nimeamua mke wa pili mke wa tutu mke wa nne”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad