1- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari
2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati
kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.
5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa
taarifa.
6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike
kuwa anavutia bila hofu.
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali
atajisikiaje.
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
9- Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
10- Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
11-Kutofua boxer na socks zake hadi wife
awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
True..we need changes...
ReplyDeleteHahahaaa!!! Very funny!!!!
ReplyDeleteHiv mnajuaje! Nahis wanaume wanandoa wengi wako hivyo...yaan kama mlimuona mume wangu. Ukiondoa 1,4,6
ReplyDeleteNishidaaaaa
ReplyDeleteWabadilike basiiii
ReplyDeletecongrat safi jaman ni shida tupu .wanafikiri sisi ni watumwa wao alafu wakirud na k wanataka badiliken bana sio fare
ReplyDeleteMtazamo sio sheria...na si tafiti sahiiii
ReplyDeletewanaobisha hapo ndo tabia zao hizooooo badilikeni aisee mmezidi
ReplyDelete