Makosa Wanayofanya WANAUME Walio Kwenye Ndoa



1- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari

2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati
kumeshadekiwa

3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.

4-Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.

5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa
taarifa.

6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike
kuwa anavutia bila hofu.

7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali
atajisikiaje.

8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.

9- Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika

10- Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege

11-Kutofua boxer na socks zake hadi wife
awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. True..we need changes...

    ReplyDelete
  2. Hahahaaa!!! Very funny!!!!

    ReplyDelete
  3. Hiv mnajuaje! Nahis wanaume wanandoa wengi wako hivyo...yaan kama mlimuona mume wangu. Ukiondoa 1,4,6

    ReplyDelete
  4. Wabadilike basiiii

    ReplyDelete
  5. congrat safi jaman ni shida tupu .wanafikiri sisi ni watumwa wao alafu wakirud na k wanataka badiliken bana sio fare

    ReplyDelete
  6. Mtazamo sio sheria...na si tafiti sahiiii

    ReplyDelete
  7. wanaobisha hapo ndo tabia zao hizooooo badilikeni aisee mmezidi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad