Mama Dangote na Mumewe Anko Shamte ndani ya swimming Pool... Mahaba kama yote


Mama Mzazi wa Diamond Platinumz Bi Sandra ameamua kuonyesha mahaba mazito kwa Mumewe ambaye ni Baba wa Kambo wa Diamond.

Mwanzo Mume huyu ambaye anajulikana kama Anko Shamte licha ya kutumia jina la Rarry Jons kupitia Instagram yake alikuwa akituhumiwa kufuata pesa kwa Mama Diamond jambo ambalo halipinga na kusema mke wake haongi na baili sana

Nini maoni yako
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad