Manchester City yaiduwaza Leicester City



Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Manchester City dakika ya 69 hilo likiwa bao lake la kwanza kufunga nyumbani tangu Januari, timu hiyo ikitoka nyuma na kushinda 3-1 dhidi ya Leicester City leo Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.

Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Riyad Mahrez dakika ya 30 na Ilkay Gundogan kwa penalti dakika ya 43 kufuatia Jamie Vardy kuitanguliza Leicester kwa bao la dakika ya 22
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad