Mashabi Wamshambulia MC Pilipili na MKEWE Kwa Kutozaa Mpaka Sasa.....

Mashabiki wamshambulia Mc Pilipili... Wataka sasa anatakiwa Aongeze Familia.. Ndoa Izae Matunda

naomy.camble.1

Na kwel tumechoka sura zao

masayanyikahgmail.com9

Wabadili staili ya maisha sio kila k2 mitandaoni

johncharles400

Wew chelewa chelewa mwisho wa siku tunakuja kusikia mtto kafanana na nnnnni bana sio wake jama wake c safari kwa kupenda safari mwisho wa siku utazaa na njia hawakawiii kuzeeeeka ao

augustino.pius

Humo kweny mabg sijui wanabeb nn
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad