Mashabiki Waendelea Kumlaumu Diamond Kumuacha WEMA Sepetu..."Unamchukuaje Nai na Kumuacha WEMA?"

Mashabiki waendelea kumlaumu Diamond kwanini ana Muacha Wemasepetu Katika Tamasha La Kigoma ambae alimtoa na Kumchukua Nai ambae ni mtu baki???

allymanundu2928

Kweli kbs wema ndio kampa ujanja dai anajisaau2

mohamedideyelo

Haijarishi kama wanatofauti yeyote ile ila kurikuwa na umuhimu wa wema kuwepo sababu na yeye ana mchango wake.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad