MFUNGWA "Rais Waangalie na Wafungwa Wengine Waliobaki Wametia Huruma Kuona sisi Tunatoka Gerezani"

Mmoja wa wafungwa aliyekuwa amefungwa kifungo cha miaka minne jela mkoani Iringa na kutoka kwa msamaha wa rais, Mchungaji Dunstan Gavvile amemuomba Rais John Magufuli kuwaangalia kwa jicho la huruma wafungwa wengine waliobaki ili nao watoke kwani wametia huruma sana baada ya kuona wenzao wanatoka huku wao wakiendelea kubaki gerezani.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad