Mke Wangu Akitoka....Mfanyakazi wa Ndani Ananikalia Mikao ya Kunitamanisha

Wanaume kweli tunakazi aisee..yaani hivi karibuni mimi na mke wangu tumepata mfanyakazi wa ndani mpya kutoka Iringa lakini imekuwa ni majaribu kwangu mwanzo mwisho pale wife anapotoka nyumbani na mimi kubaki nyumbani, Kasichana haka kabichi kabisa kananitego kwa mikao mbali mbali ya ajabu ajabu, mara kajifanye kudeki huku kana khanga moko....sometimes napatwa na muhemko nafikiria kukatafuna ila naionea huruma ndoa yangu changa...Wife akirudi nyumbani kanakuwa kapole kanavaa vizuri kabisa utadhani kashamba......

Naombeni Ushauri Jamani Nifanyaje?
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mfukuze watu mnapenda matatizo?

    ReplyDelete
  2. Ajiri houseboy badala yake

    ReplyDelete
  3. Inasound kama ni mtu anayetafuta maisha na kufanya kazi za ndani ni option inayopatikana kwake na anajaribu kutumia option hiyo kutafuta mafanikio ya kudumu ili kuganga ufukara. Labda anaamini anaweza kumwodoa mwajiri wake wa kike ili abaki kama mama. Mpe code ya mavazi. Usitazame vituko vyake. Mweleze sababu pekee ya kumleta kwenu ni ajira tu na hakuna interest nyingine. Asiposikia ajiri houseboy kama mbadala

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad