Mnyika aanza “IGP Sirro aseme ukweli “Tito Magoti hajulikani alipo, ametekwa” (+video)


Baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa leo December 22, 2019 John Mnyika amezungumza na Waandishi wa habari “Kumetokea matukio ya baadhi ya watu kupotea, ametekwa Tito Magoti baadae Polisi wakasema wanamshikilia, mpaka navyozungumza muda huu Polisi hawajasema wanamshikilia kwa kosa gani, natoa wito kwa Polisi, IGP aseme ukweli”.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad