Model wa Nigeria Aliyepata Ajali ya MOTO na Kuungua Viabaya Apost Picha zake Kwa Mara ya Kwanza

Pichani Kourtney George modo wa Nigeria amejitosa kwa mara ya kwanza kupost picha zake tangu anusurike Kwenye ajali ya moto ikiwa ni mwaka sasa umepita. Lakini anasema muda mrefu alikuwa anaogopa kupost picha zake kwa hofu ya watu watasema nini mitandaoni. Anaongeza kuwa kwasasa kila kitu amemuachia Mungu na yupo imara zaidi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad