Mtandao wa Wanafunzi Tanzania wajitosa sakata la waliosimamishwa masomo UDSM


Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) umeitaka Bodi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuwarudisha bila masharti yoyote viongozi halali wa DARUSO waliosimishwa masomo kutokana na kutetea haki za wanafunzi, na kuacha kuwa sehemu ya ukandamizaji na uonevu wa wanafunzi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad