Web

Mtangazaji Casto Dickson Azikana Chats zake Akililia Penzi la Tunda

Top Post Ad

Casto Dickson amekaririwa akizikana chats zilozoanikwa na Tunda akidai sio mwandiko wake. Chats hizo zilionesha jamaa akiwewesekea penzi la mrembo huyo ambaye ameonekana hana time nae

Tunda alizianika insta chats akidai kuchoshwa na Casto kumuongelea vibaya kwa watu kila mara ilihali simu zake zikiwa hazikauki kwa Tunda

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.