Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya BOEING Atangaza Kujiuzulu


Dennis Muilenburg amejiuzulu baada ya Kampuni ya Boeing kutangaza kusitisha kwa muda uzalishaji wa ndege aina ya Boeng 737 Max
-
Boeing walichukua uamuzi huo baada ya ndege mbili aina ya 737 Max kupata ajali na kuua watu zaidi ya 300
-
Ndege moja ilianguka nchini Indonesia na nyingine nchini Ethiopia
-
David Calhoun, atachukua nafasi hiyo ya kuwa Mtendaji Mkuu wa Boeing hadi tarehe 13 Januari, 2020 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad