Mwigizaji kutoka Kenya Bridget @bridgetachieng amefunguka kuwa aliwahi kuwa na maahusiano ya kimapenzi na msanii kutoka Tanzania King wa Bongo Fleva Alikiba japo waliachana baada ya kushindwa kwenda sawa.kwani yeye ana mambo yaharaka zaidi na Alikiba ni mtaratibu sana.
Mbali na hilo msanii huyo ameeleza kuwa Alikiba alikuwa na mambo ya kiswahili sana kitu ambacho kilipelekea kuachana nae, alipoulizwa kitu anachokikumbuka kutoka kwa Alikiba Bridget alisema Alikiba alikuwa Romantic sana na ni mtu mzuri sana.