Mwanamke Akikujibu Hivi Achana nae Haraka Sana Ujue Hakuna Kitu Hapo....

Wanawake wa uswahilini wa siku hizi wamekuwa na swagger ya aina moja wanapotongozwa.utasikia "MIMI NAWAOGOPA WANAUME",ukiuliza wewe ni bikra kwani? Atajibu hapana,ukiuliza kwa nini unawaogopa wanaume wakati we sio bikra atakujibu" NISHATENDWA SANA".ndugu yangu nakushauri,kama ukijibiwa hivo basi ondoka fasta ujue hapo hakuna mwanamke kabisa,kwa sababu haiwezekani mtu atendwe yeye tu na kila mwanaume,ujue huyo ana mapungufu ambayo hata wewe hutaweza kuvumilia ,mapungufu ambayo hata wewe utamtenda tu na mwisho wa siku utamuongezea idadi ya wanaume waliomtenda.ila mara nyingi wanawake wanaojibu hivo au wanaotendwa hivo unakuta ni hawajatulia kabisa(vicheche).
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Upuuzi mtupu mmeishiwa mada umeangalia upande mmoja tu na wanaume je wote ni wakweli?Acha hizo za kuleta fikiria kwa kina kabla haujazilileta mada zako mbuzi mtandaoni

    ReplyDelete
    Replies
    1. mtoa mada wa kwanza ni mtu makini sana kwani aliyoyasema ni kweli tupu

      Delete
  2. point kubwa hapo ni kuwa wengi wanaosema hivyo na kitu chenye mantiki hapo ni kuwa huyu anayesema ashatendwa sana anajitetea kwamba yeye hana au hakuwa na matatizo ndani ya mahusiano yote aliyowai kuwa nayo...kwa asilimia kubwa icho kitu si kweli,na mtoa mada kaelezea wanawake kwa kuwa wengi zaidi ya asilimia 95 wanaosema nishatendwa sana ni WANAWAKE....TUWE WAWAZI KAMA ULITENDWA THEN TUMIA BUSARA NA UMAKINI KWENYE KUTAFUTA MPENZI AU MWENZI MWINGINE NA SI KUFANYA HIZO SWAGA ILI JAMAA AKUONEE HURUMA....

    ReplyDelete
  3. mimi nadhani swala la kutendwa wanawake lipo na lichukuliwe positive kwa sababu wanaume nao wengi ni waongo.tujiulize tu kati yyetu labda 100..wangapi wamelelewa na mama na baba? wengi wetu utakuta tumelelewa na mama pekee au na mama wa kambo wachache...tujiulize shida nini na ni nani hasa anasababisha haya kwenye jamii? mfumo dume...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad