Mwanamke Ni Kiumbe Katili Sana Kuliko Unavyodhani ! Check Out Hapa


Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo.

Mwanamke ni mtu wa maamuzi ya haraka na pengine anapotaka kufanya jambo huwa hafikiri madhara yake huwa anakuja kutafakari wakati nambo yamesha haribika.

Mwanamke akiwa na hasira anakutoa roho muda wowote na anabadilika tabia muda wowote. Ukitaka kuamini embu siku moja muulize mkeo kwamba hivi nikizaa nje mtoto upo tayari kuishi naye halafu usikie majibu atakayokupa. Niliwahi kumueleza mke wangu nataka kuoa mke wa pili jibu alilonipa kwamba nisimtafutie mada kesi tafadhari , jibu ambalo mpaka leo huwa najiuliza alikusudia nini.

Mwanamke si mtu wa kumsaidia kwa sababu hawana shukrani na wepesi mno kusahau fadhira walizo tendewa rejea wanaume waliojiua baada ya kusomesha wachumba na kukumbiwa mara baada ya kumaliza masomo, Unaweza kuwa na mke ukampa kila kitu lakini siku moja akimpata wa nje utapata tabu sana.

Wanawake ni wepesi sana kudanganyika hata asome vipi ni wachache mno unao weza kuwakuta na misimamo imara.

Au siku moja partner wako akiwa na mimba jaribu kumwambia mimba hii nina mashaka si yangu halafu uone response ya kikatili utakakuta katoto kenyewe kametupwa jalalani huko .

By Stan

JE unakubaliana na Wazo la huyu Mdau?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad