Mwanamke STAHA na Lugha Nzuri Ndio Silaha
6
December 17, 2019
Mwanamke STAHA na Lugha Nzuri Ndio Silaha
Hata Uwe Mwanamke mzuri kiasi,mwenye rangi ya udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo usivume, na una hela na kazi nzuri sana,Kama una KIBURI, LUGHA MBOVU, MAJIBU MABAYA.Hakuna Mwanaume atakaa na wewe
Wakati mwingine mnaachwa mnajiuliza,'Amewezaje kuniacha na mi ni mzuri hivi', Jifanyie Internal Scanning kuhusu TONE yako unapoongea na Mwanaume, Mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja.
Yaani wewe Afande KIBESI, na Mmeo Koplo KIBESI, Huo sio Uhusiano ila ni kikosi cha Askari wa Kiwango Security.
A woman should be tender.
Soft-tonned.
Alistener.
Huwa mnazidiwa vitu vidogo tu, we unajifanya kidume, wakati MCHEPUKO unaongelea puani hata kama mwanaume ndo kakosea, Shoga usimtafute mchawi wa ndoa/yako mahusiano yako n wewe mwenyewe na kibesi chako, wataka jitia jabali haki sawa, kama haki sawa KOJOA UMESIMAMA NA USIJIKOJOLEE!
Tags
Haha Larkin kweli.
ReplyDeleteKusema kweli hata uwe na soft voice kama mwanaume kiboro dinda ni kiboro dinda tu!! Mapenzi yalishaga isha long time kilicho baki sasa ni tunaliwazana tu.
ReplyDeletemmmmmmmh
ReplyDeleteAdmin wape na wanaume masomo. uhusiano si kazi ya mwanamke tu. kama mwanaume ndo mtongozaji lazima na yeye aelewe game la kumweka mwenzake la sivyo wapo wataomnyakua.
ReplyDeleteMbona anawapaga masomo wanaishia kumtukana tu
Delete...ukiona hivyo ujue huyo bado hajapata wa kufiti naye.......lugha nzuri haitafutwi kwa uzuri wala kwa kifua kilichojengeka sawa sawa bali italetwa tu na Mapenzi! Mimi naamini wanawake wa hivyo ni watu na wana hisia! Km ndivyo lazima tukubaliane jeuli yake yote itafunikwa tu pale atakapofika apendapo! Maneno maneno,ujeuri vyote hivyo ni kwa vile hajafika tu! CHEZEA MAPENZI WEWE! Mbele ya Mapenzi mmmmmmmmmh
ReplyDelete