Mwanariadha Eliud Kipchoge Atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima


Mwanariadha wa mbio ndefu Mkenya Eliud Kipchoge, ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris causa) na chuo kikuu cha Laikipia kilichopo mjini Eldoret Kenya,kwa kuiwakilisha vizuri Kenya Kimataifa katika mashindano ya riadha.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad