Mwijaku Atoa Neno Sakata la Hamisa Mobetto "Siku Mnunue Nyie Yeye Akinunua eti Kahongwa"

Mwijaku Atoa neno Kuhusu Watu wanaomshambulia Hamisa mobetto kutengeneza Kiki Ya Kununuliwa Gari ( RANGE)
 Tujifunze kukubali mafanikio ya mtu na tuache kasumbaaa loh kila siku mnunue nyie yeye akinunua eti kahongwa ...! S/O kwa muuuzaji na mnunuaji nimeamini kweli watu roho zinawauma jamani kila mtu ashinde mechu zake jamani . ! Pia mjiulize magari yanauzwa kila siku ni uamuzi wa mtu anynue kwa nani gari na anunue wapi . Tusimpangie mtu akanunue wapi .! Mazafantaaaaaaaaaaa..

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad