Ndege Iliyobeba Abiria 100 Yaanguka, 14 Wathibitika Kufariki, 35 Majeruhi



Kazakhstan:

Ndege hiyo ya Bek iliyokuwa imebeba abiria 95 na wahudumu 5 ilianguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Almaty siku ya Ijumaa alfajiri saa za eneo hilo

Watu 14 tayari wamethibitishwa kufariki lakini haijulikani iwapo kuna manusura wowote.


Ndege hiyo ilikuwa ikielekea katika mji mkuu wa Kazakhstan wa Nursultan kutoka mji mkubwa wa Almaty

Ndege hiyo inadaiwa ilipoteza mawasiliano mwendo wa saa moja na dakika 22, kabla ya kugonga kizuizi kimoja na kuangukia nyumba ya ghorofa mbili.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad