NIKIONA Chupi tu Jogoo Anawika Nifanyaje Kupata Dawa?
2
December 09, 2019
Mimi ni mwanaume rijari nimekamilika kila idara,ila nikiwaona mademu wakikaa Vibaya na kuonyesha makufuli au akiwa amevaa suruali alafu ainame bahati mbaya kufuli ionekane basi jogoo langu linawika na linahitaji na siku hiyo lazima nitafute demu hata kama ni malaya je wapi ntapata dawa ya kutuliza huu mzukaa?
Tags
NENDA KANISANI
ReplyDeleteWEWE NI PUNGUANI MKUBWA ULIYELELEWA VIBAYA NA WAZAZI WAKO UNAHITAJI PSYCHOLOGIST HARAKA SANA KABLA HAUJAENDA JELA MIAKA 30 AU KUFUMANIWA NA MWANAMKE WA MTU NA WATU WAKACHUKUA SHERIA MIKONONI MWAO WAKAKUMALIZA
ReplyDelete