Nilimfumania mwanamke wangu na jamaa mwingine chumbani kwetu kitandani kwetu. Nilimwacha kwa muda lakini alirudi na kuniomba msamaha tukarudiana. Ila sasa ananiambia ni mjamzito alivyoniambia tu ni mjamzito hasira zimenirudi. Sijui ni ujauzito wangu au sio. Na pia sina uhakika kama ameshaachana na yule jamaa niliyemfumania nae ama la.
Naombeni ushauri
Kwani ulivyo mfumania hukulala naye kwa mwezi mzima mijitu mingine bana haina hoja za maana kazi kutunga stori
ReplyDeletemmh that real crazy
ReplyDeleteNiletee mimi nimfanyie uchunguzi
ReplyDeleteMwezi mmoja mbona mwingi sekunde tuu kitu Na goal unazungumza mwezi wee vp
ReplyDelete