Nilimfumania Mwanamke Wangu na Jamaa Mwingine Kitandani, Nikamsamehe..Baada ya Mwezi Ananiambia Ana Mimba yangu

Nilimfumania mwanamke wangu na jamaa mwingine chumbani kwetu kitandani kwetu. Nilimwacha kwa muda lakini alirudi na kuniomba msamaha tukarudiana. Ila sasa ananiambia ni mjamzito alivyoniambia tu ni mjamzito hasira zimenirudi. Sijui ni ujauzito wangu au sio. Na pia sina uhakika kama ameshaachana na yule jamaa niliyemfumania nae ama la.

Naombeni ushauri
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani ulivyo mfumania hukulala naye kwa mwezi mzima mijitu mingine bana haina hoja za maana kazi kutunga stori

    ReplyDelete
  2. mmh that real crazy

    ReplyDelete
  3. Niletee mimi nimfanyie uchunguzi

    ReplyDelete
  4. Mwezi mmoja mbona mwingi sekunde tuu kitu Na goal unazungumza mwezi wee vp

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad