IJue Sheria Inayopiga Marufuku Kupiga Kelele Maeneo ya Makazi ya Watu
0
December 06, 2019
Marufuku hii imewekwa kwa mujibu wa kanuni za kudhibiti uchafuzi wa mazingira unaotokana na makelele yanayosababishwa na shughuli mbalimbali katika jamii
Kanuni hizi zilizinduliwa mwaka 2015 kulingana na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya mwaka 2014.
Kanuni zinampa nguvu mtu anayesumbuliwa na kelele kwenda kushtaki kwenye vyombo husika
Aidha, kanuni zinatoa adhabu ya faini ya hadi milioni 50 au kifungo jela kwa wanaokiuka
Kelele zinazozuiwa na kanuni hizi ni za kutoka migodini, kwenye kumbi za kijamii, kumbi za usiku za starehe, matangazo, baa na kutoka kwenye matukio mengine ya kijamii
Tags