No title


Paul Pogba mwenye umri wa miaka 26, anataka kundoka Manchester United na kujiunga tena na klabu yake ya zamani ya Juventus. (Calciomercato – in Italian)

Chelsea wanapanga uhamisho wa mshambuliaji wa RB Leipzig na Ujerumani Timo Werner, 23. (Express

Barcelona inampango wa kutaka kumsaini tena mshambuliaji wa Paris St-Germain na Brazil Neymar, 27, katika msimu wa uhamisho wa majira ya joto. Hata hivyo hii sasa imekuwa stori isiyo na mwisho kutokana kila siku kusikika habari hizi za Neymar na waajiri wake wa zamani bila kufikia kikomo.(Goal)Barcelona itajaribu kusaini tena mkataba na mshambuliaji wa Paris St-Germain na Brazil NeymarBarcelona itajaribu kusaini tena mkataba na mshambuliaji wa Paris St-Germain na Brazil Neymar

Mshambuliaji wa Croatia Mario Mandzukic, 33, amemaliza tetesi juu ya hali yake ya baadae kwa kukamilisha taratibu za kuhamia klabu ya Al-Duhail ya Qatari licha ya kwamba Manchester United kumtaka. (Mail)

Manchester United wako tayari kumpa Mnorway Erling Haaland mwenye umri wa miaka 19 anayecheza katika safu ya mashambulizi mkataba wa pauni 200,000-kwa wiki kujiunga nao kutoka Red Bull Salzburg. (Sun)

Kiungo wa kati wa Leicester na England James Maddison, mwenye umri wa miaka 23, anatarajiwa kuwasiliana na Manchester United kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo kwa pauni milioni 80 msimu ujao wa majira ya joto. (Daily Star)James Maddison, anatarajiwa kuwasiliana na Manchester United kwa ajili ya kujiunga na timu hiyoJames Maddison, anatarajiwa kuwasiliana na Manchester United kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo.

Monaco wamejiunga na AC Milan na Manchester United katika harakati za kusaini mkataba na kiungo wa kati-nyuma wa Barcelona Mfaransa Jean-Clair Todibo, mwenye umri wa miaka 19. (Calciomercato)

Chelsea wanapanga uhamisho wa mshambuliaji wa RB Leipzig na Ujerumani Timo Werner, 23. (Express)

Meneja anayekabiliwa na shinikizo wa West Ham Manuel Pellegrini anahitaji kusaini mikataba na wachezaji wanne mwezi Januari lakini wanaweza kumuacha mlinzi wao Issa Diop, 22, aondoke. (Express).Monaco wamejiunga na AC Milan na Manchester United katika harakati za kusaini mkataba na Mfaransa Jean-Clair TodiboMonaco wamejiunga na AC Milan na Manchester United katika harakati za kusaini mkataba na Mfaransa Jean-Clair Todibo

Arsenal wanatarajiwa kumuuza mmoja wa washambuliaji wao na kumumleta kikosini mshambuliaji wa timu ya Lyon Mfaransa Moussa Dembele mwenye umri wa miaka 23. (Le10Sport – in French)

Everton na Atletico Madrid wanapambana katika kusaini mkataba na mchezaji wa klabu ya River Plate anayecheza katika safu ya mashambulizi Molombia Rafael Santos Borre, mwenye umri wa miaka 24. (AS)Arsenal wanamtaka Mfaransa Moussa Dembele

Arsenal wanamtaka Mfaransa Moussa Dembele
Mlinzi wa Manchester United Chris Smalling, mwenye umri wa miaka 30, anataka kubakia katika Roma wakati mkataba wake wa mkopo utakapomalizika mwishoni mwa msimu. (Roma Press)

AC Milan wanaimani ya kukamilisha mkataba wa kumrejesha tena katika klabu hiyo kiungo wa safu ya mashambulizi Msweden Zlatan Ibrahimovic, mwenye umri wa miaka 38, mwezi Januari. (Mail)

West Ham wako makini kusaini mkataba na kiungo wa kati wa Uhispania Unai Nunez, 22, kutoka Athletic Bilbao. (AS, in Spanish)AC Milan wanaimani ya kukamilisha mkataba wa kumrejesha tena katika klabu hiyo kiungo wa safu ya mashambulizi Msweden Zlatan IbrahimovicAC Milan wanaimani ya kukamilisha mkataba wa kumrejesha tena katika klabu hiyo kiungo wa safu ya mashambulizi Msweden Zlatan Ibrahimovic

Mkufunzi wa Wolves Nuno Espirito Santo anawapatia wachezaji wake mapumziko ya siku moja ili wakae na familia zao kabla ya mechi dhidi Manchester City. (FourFourTwo)Juan Sebastian VeronJuan Sebastian Veron

Liverpool watawasilisha ombi kwa Primia Ligi la kutaka haki ya kuvaa beji za Washindi wa kombe la dunia la Fifa kwenye fulana zao katika gemu za ndani. (The Athletic – subscription required)


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad