Penzi ni Kikohozi..WEMA Sepetu Ashindwa Kuficha Penzi Lake Kwa Danzak....



Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Msanii wa Filamu Nchini Tanzania Wema Sepetu kwa mara ya kwanza ameamua kuthibitisha kumpokea Msanii Danzak licha ya kumkatalia kwa muda mrefu.

Hivyo kuanzia muda Wema na Danzak ni wapenzi na Wema aliandika Ujumbe huu kupitia Ukurasa wake wa Instagram

" Lets Sleep now guys... My two crazy favorite People... cc @auntyezekiel @danzak
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani watachelewa? mtasikia washaachana kwa kiki kuliko ya Dai.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad