Anajua Kabisa Yule Alikuwa Shemeji... Tena Hata Kesi Ndogo Ndogo Zilizotuhusu, Niliziweka Wazi Kwake Kwa Ushauri Na Msaada Wa Mawazo
Hata Tuliposhindwana Na Huyu Binti!.... Nilimshirikisha ......Na Kwakuwa Nilishavumilia Na Kuchoka Juu Ya Vitimbi Nilivyoangushiwa Na Huyu Binti, Akaafikiana Nami Kuwa Niachane Naye
Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia Ni kupata Habari kuwa rafiki yangu yupo katika maandalizi ya kuoa na Mchumba wake ni yule yule aliyekuwa mchumba wangu siku za nyumba niliyeachana nae..Ki ukweli nimechanganyikiwa napata maswali mengi sana
Je inawezekana walikuwa wapenzi toka zamani ?
Je Rafiki yangu alihusika katika Kuvunja uchumba wetu ili yeye ajichukulie?
Nifanyaje Waungwana?
Wewe Muombe Mungu akupe atakaye kupenda toka moyoni na pia usiumie sana moyoni ila mshukuru sana Mungu upo uwezekano umeepeshwa na jambo fulani ambapo ungelazimisha kuwa na huyo binti ungepatwa na jambo ambalo ungejuta kuwa nae, ila Mungu kapenda usiumizwe baadae ambapo ungeumia zaidi ya sasa, Wanawake wapo na yupo wako ambaye Mungu amekuandalia kuwa na subira atakuonesha tu wakati ukifika.
ReplyDeleteni kweli kabisa waswahili tunasema LIKUEPUKALO LINA HERI NA WEWE. pia ujue kuwa huyo mwanamke hakuwa na mapenzi ya kweli alishaoza kwa rafiki yako!!! utampata wako wa kwel
ReplyDelete