Rais Magufuli Amjulia Hali Aliyewahi Kuwa Katibu wake


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Gervace Stephano Makoye katibu wa Ccm wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita alipomtembelea ili kumjulia hali nyumbani kwake Chato. Disemba 22, 2019. Bw. Makoye aliyewahi kuwa katibu wa Mhe. Magufuli kwa miaka 10 wakati akiwa Mbunge wa Chato anaendelea na matibabu nyumbani kwake katika Mtaa wa Kalema Chato Mjini Mkoani Geita
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad