Rais Magufuli awatakia heri ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo  Jumapili Desemba 22, 2019 amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa na ametumia nafasi hiyo kuwatakia heri ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad