Rais wa Burundi amebainisha msimamo wake wa kutogombea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, hatua ambayo imewashangaza Raia wengi huku wapinzani wake wakijiuliza kama kauli yake itakuwa na ukweliReposted from @jamiiforums (@get_regrann) - RAIS PIERRE NKURUNZIZA ATANGAZA KUONDOKA MADARAKANI 2020 - Rais wa Burundi amebainisha msimamo wake wa kutogombea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, hatua ambayo imewashangaza Raia wengi huku wapinzani wake wakijiuliza kama kauli yake itakuwa na ukweli - Rais Nkurunziza ameyasema hayo mwishoni mwa juma, mbele ya Maafisa wa Jeshi na Polisi kwenye sherehe zilizokuwa zimeandaliwa kumtakia sikukuu njema za mwisho wa mwaka - Hata hivyo, kuna uvumi kwamba kiongozi huyo ana nia ya kuwania Kiti cha Urais katika uchaguzi ujao - #regrann
Rais Nkurunziza ameyasema hayo mwishoni mwa juma, mbele ya Maafisa wa Jeshi na Polisi kwenye sherehe zilizokuwa zimeandaliwa kumtakia sikukuu njema za mwisho wa mwaka
Hata hivyo, kuna uvumi kwamba kiongozi huyo ana nia ya kuwania Kiti cha Urais katika uchaguzi ujao