Msanii Aliyedai Kuibiwa Wimbo na Rayvanny Afunguka ilivyokuwa "Mimi Ndio Niliyoiba Wimbo"



Baada ya Rayvanny kueleza kuwa ameibiwa wimbo na msanii kutoka mkoani Iringa anayefahamika kwa jina la Riser stars kuwa Serikali iingilie kati kuhusu hizi tuhuma zinazowahusu wasanii wakubwa kuwa wanaibiwa nyimbo zao na endapo huyo msanii ataendelea kulalamika kuwa wimbo ni wa kwake basi atamshitaki.

Leo tumepata nafasi ya kufanya mahojiano na msanii Riser Star ambaye ndio ametuhumiwa na kufunguka yafuatayo:


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad