Soudy Brown Adai Mamaneja BABU Tale na Sallam SK Walikuwa Uwanja wa Taifa Wakichungulia Fiesta
0
December 09, 2019
Wakati Tamasha la Fiesta Likiendelea usiku wa Jana ..Soudy Brown aliandika haya:
"Temeke Amkeni Amkeni Amkeniiiiiii
Meneja Andunje Na Tumbo Nawaona Nawaonaaaa Mpo Parking Za Uwanja Wa Uhuru Ndani Ya Prado T30..... Ntamalizia mm 😂😂😂
Njooni Mle Burudani Ya Saizi Zenu, Mpo Hapa Hapa Halafu Mnachungulia Kupitia Youtube 😂😂
Mnateseka Bureeeeeee"
Je Unaamini Walikuwa Pale Wakiangalia au ni figisu tu ?
Tags