TABORA: Mwandishi Aokotwa Porini na Kudai Alitekwa..Polisi Wasema Huenda Alikuwa Kwenye Mambo yake Binafsi



Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Barnabas Mwakalukwa amesema kuwa huenda Mwandishi wa Habari, George Bahamu alikuwa kwenye mambo yake binafsi

Amefafanua kuwa, mtekaji hawezi kukuacha kinyeji tu. Akaongeza kuwa, mtu yeyote aliyetekwa hawezi kupiga simu yake mwenyewe na kutaja eneo alipo

Kamanda Mwakalukwa akaongeza kuwa, amemtuma OCD akamuangalie anaweza akawa na mambo yake ya ajabu, pengine mambo ya Wanawake
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad