Tanzania Twaendelea Kuwa Mashemeji Kenya....Kilimanjaro Stars Yapakatwa na Kenya


Timu ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeanza vibaya kwenye michuano ya CECAFA nchini Uganda.

Katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa  Lugogo 'Kilimanjaro Stars imejikuta ikiambulia kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Kenya.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad